Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuyataja hayo madanguro inabaki kuwa ni story ya uzushi tuShalom,
Oalaakalooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Walimwengu walisema tembea uone, kuoa uyaone na mtembea bure si mkaa bure, mgagaa na upwa hali wali mkavu, mguu wako ndio riziki yako.
Kama kawaida Mungu anabariki sana njia zetu tunatembea na kuifahamu nchi yetu ya Tanzania hasa nyumbani Tanganyika.
Katika tembea tembea yangu ya hapa na pale kwenye mikoa ya Tanzania (Tuachane na Makonki yaaani DSM na Arusha). Kuna Mikoa ina madanguro sana.
Habari ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Ruvuma ni noma kubwa. Kuna namna shetani ana Kambi zake za kimapenzi ziko imara sana kwenye hii mikoa.
Tembea uone na ndio utajua bado huna uzoefu na huna unachokijua. Tuendelee kuliombea Taifa letu Mungu yupo na Tanganyika itarudi ipo siku.
Mapenzi sio shuruti, mapenzi ni maisha, mapenzi ni hisia, mapenzi ni riziki pamoja na uharamu kwa misingi ya uasherati na uzinzi. Kataa kuoa na kataa ndoa inaenda sambamba na kujua mambo mengi ya kidunia yahusuyo wanajamii.
Shukrani 🙏
Wadiz
Hamuoni captain Jack Sparrow hapo!?Hahah iv kumbe I'd yangu imekaa kike kike 😁😁😁.
Naskia na Msamvu wapo pia.Chipukizi..kaumba..samaki samaki