Shalom,
Oalaakalooo π€£π€£π€£π€£π€£
Walimwengu walisema tembea uone, kuoa uyaone na mtembea bure si mkaa bure, mgagaa na upwa hali wali mkavu, mguu wako ndio riziki yako.
Kama kawaida Mungu anabariki sana njia zetu tunatembea na kuifahamu nchi yetu ya Tanzania hasa nyumbani Tanganyika.
Katika tembea tembea yangu ya hapa na pale kwenye mikoa ya Tanzania (Tuachane na Makonki yaaani DSM na Arusha). Kuna Mikoa ina madanguro sana.
Habari ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Morogoro, Ruvuma ni noma kubwa. Kuna namna shetani ana Kambi zake za kimapenzi ziko imara sana kwenye hii mikoa.
Tembea uone na ndio utajua bado huna uzoefu na huna unachokijua. Tuendelee kuliombea Taifa letu Mungu yupo na Tanganyika itarudi ipo siku.
Mapenzi sio shuruti, mapenzi ni maisha, mapenzi ni hisia, mapenzi ni riziki pamoja na uharamu kwa misingi ya uasherati na uzinzi. Kataa kuoa na kataa ndoa inaenda sambamba na kujua mambo mengi ya kidunia yahusuyo wanajamii.
Shukrani π
Wadiz