Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi , tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Mbeya inaongoza!!!!😳Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi , tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Hebu weka maambukizi kwa asilimia kitaifa.Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi , tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Ukawa msaada gani kwao?Au uliwaangalia tu na kuondoka kurudi Nzega?Nimewahi kuishi mikoa hiyo na kufanya utafiti,nilibaini jambo kubwa moja linalo sambaza virusi kwa kasi ni; ULEVI; watu wanakunywa pombe kupita kiasi, wakubwa kwa watoto wanalewa chakariii!! wanamalizana bila wao kujua, ukimwi unasambaa kwa kasi ya moto!!
pointHizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.
Katika mikoa yote uliyoitaja, kuna mkoa unaizidi dar na mtwara kwa uzinzi? Ina maana wazinzi wote huko hutumia kinga?
Serikali ya bongo imeshaona hili ni gepu la kupigia hela za "dona kantri" ndo maana kila mwaka wanajitahidi kupika data
12.7% Njombe.Hebu weka maambukizi kwa asilimia kitaifa.
Tatizo ni ALIYE NACHO HUONGEZEWA. Wewe ulitaka maambukizi yaishe oabisa mkuu? Huwezi kupingana na nature.Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi.
Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Dar watu wana uelewa mpana kuliko Mikoa yote Tanzania,vilevile Mikoa ya Wauslama mingi rate ya maambukizi huwa ni kidogo.Hizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.
Katika mikoa yote uliyoitaja, kuna mkoa unaizidi dar na mtwara kwa uzinzi? Ina maana wazinzi wote huko hutumia kinga?
Serikali ya bongo imeshaona hili ni gepu la kupigia hela za "dona kantri" ndo maana kila mwaka wanajitahidi kupika data
Mtwara kuna uzinzi kwa kipimo kipi?Hizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.