Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera bado maambukizi ya VVU yapo juu. Tatizo ni nini?

Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera bado maambukizi ya VVU yapo juu. Tatizo ni nini?

Bila shaka hawajui hata umuhimu wa vilainishi.
 
Nimewahi kuishi mikoa hiyo na kufanya utafiti,nilibaini jambo kubwa moja linalo sambaza virusi kwa kasi ni; ULEVI; watu wanakunywa pombe kupita kiasi, wakubwa kwa watoto wanalewa chakariii!! wanamalizana bila wao kujua, ukimwi unasambaa kwa kasi ya moto!!
Rombo Mashati ingekua inashika namba 1 kwa ngwengwe
 
Na ndio mikoa inayongoza kwa ulikole ni walevi na wazinzi kupitiliza wakipata maambukizi wanakuwa walokole wanampa na mchungaji ugonjwa uliowapeleka kanisani na kueneza kwenye kwaya.
 
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi.

Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
 
Na ndio mikoa inayongoza kwa ulikole ni walevi na wazinzi kupitiliza wakipata maambukizi wanakuwa walokole wanampa na mchungaji ugonjwa uliowapeleka kanisani na kueneza kwenye kwaya.
 
Na ndio mikoa inayongoza kwa ulikole ni walevi na wazinzi kupitiliza wakipata maambukizi wanakuwa walokole wanampa na mchungaji ugonjwa uliowapeleka kanisani na kueneza kwenye kwaya.
Hahaha
 
Hizo takwimu hata hazinaga ukweli... Miaka nenda miaka rudi ni hizohizo wakati kuna mikoa imechangamka kwa uzinzi kuliko sodoma na gomora.

Katika mikoa yote uliyoitaja, kuna mkoa unaizidi dar na mtwara kwa uzinzi? Ina maana wazinzi wote huko hutumia kinga?

Serikali ya bongo imeshaona hili ni gepu la kupigia hela za "dona kantri" ndo maana kila mwaka wanajitahidi kupika data
 
Njombe,Iringa na Mbeya Ukimwi hauwezi isha sababu 98% ya wanawake wa hiyo Mikoa ni sura za Baba a.k.a Wabaya.
Hivyo wanawake wa kutoka Manyara,Singida na Arusha ndio wanapeleka Ukimwi kwenye hayo maeneo-kisha wanaume hupeleka kwa wake zao.

Mfano Njombe na Mbeya,Mtu ana miliki kabisa bar maid anamfanya kama Mkewe hataki kabisa mtu amsogelee ilihali Dada ni Muuzaji.
True
 
Back
Top Bottom