Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

Hio speed waliyonayo Lindi sio ya kitoto, toka 0.6% - 2.6%, huu mkoa wautazame
 
Mikoa hii inayongoza kwa ngoma ..ingekuwa ya pwani .pasingekalika hapa na kashfa kama zote
Ni ngumu kutokea Hilo watu wa pwani Kuna vitu tumewazidi.


Ila na wao kuna vitu wametuzidi pia
 
Mikoa yenye maambukizi ya chini ni Kigoma (1.7%), Manyara (1.8%) na Lindi (2.6%).


Sosi. ITV
Safi sana maambukizi Yazidi kupaaa watu wafe kwa wingi ili tusigombee ugali na oxygen.

Tufe tu wote maamae
 
Baridi, kukosa Elimu na Ulanzi ndio chanzo cha huo UKIMWI huku kwetu nyanda za juu kusini. Wanawake wa huku hawana msimamo, memgi yanakubali kulalwa bila condom sijui kwanini japo pia hii taarifa sijajua ni ya TACAIDS au NGO zinazotafuta fedha.
Manyara kuna baridi pia kwa hiyo hoja haina nguvu sana sana ushirikina unawatesa
 
Back
Top Bottom