Kwa kua na wahanga , idadi iliyotajwa ni ya wahanga , hii kwa maana nyingine naona mikoa hio iko vulnarable sana kwa matapeli , either elimu ya kukwepa matapeli ni ndogo sana ndio maana matapeli wanapata urahisi ,ama pia inaweza kua safe hub ya matapeli ,ikimaanisha vyombo vya ulinzi na usalama mikoa hio havifanyi kazi ya kuwabugudhi matapel.Inaongoza kwa kuwa na matapeli wengi au kwa wahanga wa utapeli?
Au ndio mikoa inayo ripoti matukio mengi wengine wanakausha....?Kwa kua na wahanga , idadi iliyotajwa ni ya wahanga , hii kwa maana nyingine naona mikoa hio iko vulnarable sana kwa matapeli , either elimu ya kukwepa matapeli ni ndogo sana ndio maana matapeli wanapata urahisi ,ama pia inaweza kua safe hub ya matapeli ,ikimaanisha vyombo vya ulinzi na usalama mikoa hio havifanyi kazi ya kuwabugudhi matapel.
Kuna theories nyingi sana hapo