Mikoa ya Tanzania na tamaduni zake

Mikoa ya Tanzania na tamaduni zake

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga.

Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa.

Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili.

Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka.

Mwanza mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali sio maziwa.

Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover.

Kigoma kati ya watu 10 basi 8 sio watanzania.

Shinyanga kuokota hirizi ni kama kuokota jani la muembe uchawi no stress

Tabora wasomali wengi kuliko waswahili

Dodoma mtoto anazaliwa kanyoosha mikono.anajifunzia uomba omba tumboni.

Rukwa hawa hata hawajui km wapo tanzania

Mbeya ukinywa chai usitumie dk. Kumi la sivyo inaganda.

Iringa kujinyonga ni ushujaa.

Morogoro wanaamini wao ni wajanja kuliko dsm

Pwani hawa ni mgambo wa jiji la dsm.wanalinda mkoa.

Lindi mkoa mkuubwaaa ila woote ni hifadh ya wanyamapori.

Mtwara usipokula panya unaonekana mwanga

Ruvuma huko naskia hawatumii tsh wanatumia kwacha.

Dsm kila mtu tapeli. Unaweza kujitapeli had nafsi yako

Kilimanjaro ikifika december mji unajaa. Cjui hata watu wanatoka wap?

Singida hapanaga tofaut na jangwa la sahara full vumbi..

Wapi nimesahau? Ongezea...
😆😆😆😆😆😆😆
 
Singida Iramba umeionea hakuna jangwa kabisa huko ni wilaya pekee yenye miti na misitu kuliko wilaya zote za singida kwahiyo singida sio jangwa may be Dodoma.
 
Back
Top Bottom