Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Dawa ya moto ni moto, washa moto mkubwa mpaka kieleweke jamaa washamaliza mkeo so kama vipi mrudishe kwao, kama mna watoto chunga watoto then mengine unajua ya kufanya we si mkubwa banaaaa. Ukionja jicho huachi ndo maana lilikatazwa.
 
Dawa ya moto ni moto, washa moto mkubwa mpaka kieleweke jamaa washamaliza mkeo so kama vipi mrudishe kwao, kama mna watoto chunga watoto then mengine unajua ya kufanya we si mkubwa banaaaa. Ukionja jicho huachi ndo maana lilikatazwa.

ohoo haya bana
 
Alikuwa anatafuta nini ktk huo mkoba wa mkewe??kama hutaki magonjwa ya moyo achana na kupekuwa mabegi au simu za mpenzi wako!![/QUOTE]

mkuu bora kupekua ili ujue mapema na uchukue tahadhari.
 

Nawapa kauzoefu kidogo. Wale malaya wa mitaa yenye utulivu flani (sio wanaojipanga barabarani, nadhani mnaelewa, kama vile unaenda hoteli flani nzuri au clubs za watu wenye heshima zao) wale wengine wameolewa na wana familia zao. Wengine wana kazi zao za kawaida lakini usiku wanafanya 'part-time'. Tukiwa chuo jamaa yangu mmoja alipata jimama flani changu pale Rombo Green View, yaani alikwenda kusalimia washkaji zake walikuwa wamefikia pale kwa semina ya NGO yao kutoka Zanzibar, wakati wa kuondoka jimama fulani likamchangamkia basi akaenda kulinaniliu akamlipa sh 5,000. Wiki iliyofuata tulikuwa tunaenda field, alipopeleka barua yake TANESCO Ubungo akakuta lile jimama-changu ndio liko reception! Sasa mama kama huyu kama ameolewa sidhani kama atamwambia mumewe siri hii. Kwa hiyo jamaa kwenye kisa hiki namshauri afuatilie pia shughuli za mkewe, huenda ni mjasiriamali wa tasnia hiyo.
 
Wiki iliyofuata tulikuwa tunaenda field, alipopeleka barua yake TANESCO Ubungo akakuta lile jimama-changu ndio liko reception!

Yalaaaa!!:embarrassed::embarrassed:
 
Jamani pengine mie mshamba..........nijuavyo mie uhusiano wa wapendanao ni zaidi ya tuuonavyo kwa nje....... uwazi, ukweli ni mambo ya kawaida na kamwe hakuna siri hadharani.......so I believe Simu yako ni yangu, yangu ni yako, mkoba wangu ni wako wangu ni wako. So MUME alikuwa na haki ya kuugusa achilia mbali kuupekua ni mkewe na mkoba unamuhusu wao si waliambiwa kuwa i mwili mmoja? Ifidelity ipo na itakuwepo but tuwe na akiliza ziada bana.....iwapo kibaka mtaani anazo mbinu za kufanya asikamatwe why not you??? Mke hakutumia busara na aliitumia trust ya mumee kwake vibaya.


Tukiamua uiba basi tuibe but kwa akili (Nitupieni mawe mkitaka........but that is the truth)
 
Napata pressure tu hapa. Afadhali wenye tabia ya kuangalia simu au mikoba ya wenzi wao kwa sababu waweza jiokoa na kifo
 
Angalau anaonyesha anajali. Kuwa na zana ni kwa ajili ya tahadhari na sio lazina kuwa katumia.
 

This is what I call 'keeping it one hundred'. No denials, no pretenses, no deception, no fronting.....you kept it all the way one hundred. Salute.
 
Code:
Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta  kilikuwa ni mambo ya kushangaza, [COLOR=red]K.Y jelly tube, condoms na vipodozi  kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu.[/COLOR] Alishindwa kujizuia akashindwa  muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai  wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba  ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.

Ushauri ni kuwa amshukuru mkewe kwa kumpenda na kumlinda na maambukizi ya vijirusi vya vvu..............ila hii jelly tube kidogo imeniacha kwenye mataa.................................kazi zake ni zipi?????????????
 
Mh! za mwizi ni arobaini,lakini amuulize tu mke wake,then wakae chini wakiwashilikisha viongozi wa dini,waweke mambo sawa.
 
God Forbid!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…