Nightangale
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 265
- 2
Aine kusamehe? Atakuwa na moyo huyo mume kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usishike? Siri ya nini kwenye ndoa? Hapo ndo mnakaribisha upupu wenyeweNikweli kushikashika vitu vya akina mama mara nyingi ni Presure tupu.
Dawa ya moto ni moto, washa moto mkubwa mpaka kieleweke jamaa washamaliza mkeo so kama vipi mrudishe kwao, kama mna watoto chunga watoto then mengine unajua ya kufanya we si mkubwa banaaaa. Ukionja jicho huachi ndo maana lilikatazwa.
Alikuwa anatafuta nini ktk huo mkoba wa mkewe??kama hutaki magonjwa ya moyo achana na kupekuwa mabegi au simu za mpenzi wako!![/QUOTE]
mkuu bora kupekua ili ujue mapema na uchukue tahadhari.
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli ya familia. Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, K.Y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu. Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.
Ushauri jamani!
Wiki iliyofuata tulikuwa tunaenda field, alipopeleka barua yake TANESCO Ubungo akakuta lile jimama-changu ndio liko reception!
Jamani pengine mie mshamba..........nijuavyo mie uhusiano wa wapendanao ni zaidi ya tuuonavyo kwa nje....... uwazi, ukweli ni mambo ya kawaida na kamwe hakuna siri hadharani.......so I believe Simu yako ni yangu, yangu ni yako, mkoba wangu ni wako wangu ni wako. So MUME alikuwa na haki ya kuugusa achilia mbali kuupekua ni mkewe na mkoba unamuhusu wao si waliambiwa kuwa i mwili mmoja? Ifidelity ipo na itakuwepo but tuwe na akiliza ziada bana.....iwapo kibaka mtaani anazo mbinu za kufanya asikamatwe why not you??? Mke hakutumia busara na aliitumia trust ya mumee kwake vibaya.
Tukiamua uiba basi tuibe but kwa akili (Nitupieni mawe mkitaka........but that is the truth)
Pole unamfahamu nini? Au ni mkeo!Yalaaaa!!:embarrassed::embarrassed:
Aanze na hausigelo
Nani sasa anauza vocha?atakua anauza vocha za tigo huyo
Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, [COLOR=red]K.Y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu.[/COLOR] Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.
God Forbid!!Hahahahaah either wewe ni mdogo haya mambo huyajui! Inakera zaidi kuuliza kitu kilicho obvious. Huyo mama atakataa huenda hata akalianzisha umemwekea, mkaishia kuingia kwenye domestic abuse. Nadhani njia sahihi ni huyo bro kwenda naye kucheat na aje amevaa G-string ya kidosho wake. Hakuna kuulizana