Mikogo ya Hemed Kivuyo wa ITV!

Kasemaje jamani?Namkubali sana.
yani kwenye kuanza habari yake mbwembwe zake kawachambua had I kina Plato.. jitahidi kesho usikose kuangalia itv habari na ombea yanga ishinde
 
Kivuyo ana uwezo mkubwa wa kumiliki habari za michezo.Apewe tu ukuu wa wilaya.
 
yani kwenye kuanza habari yake mbwembwe zake kawachambua had I kina Plato.. jitahidi kesho usikose kuangalia itv habari na ombea yanga ishinde
Uwiiiiii jamani nimekosaje uhondo?
Najua...nami siku Yanga ikishinda huwa najiandaa kumuangalia Kivuyo maana sifa zitakazomwagwa hua nafurahia kuliko ushindi wenyewe.
ITV wangekuwa wanatuwekea clips zake YouTube bhanaaaaa....
Au zipo nini?
 
Ni afadhari na Kivuyo huyu George Maratu ndo mtangazaji anayeniudhi kuliko wote nadhani kwa namna anavyovuta sauti yake hadi anaharibu I wish asiongezewe mkataba.
Hata Sam Mahela kama anataka kulazimisha kitu fulani hivi unamuona kabisa he is trying hard badala ya kuwa mwenyewe tu na style yako bila kuongeza mikogo.
 
We mleta mada unayechukia manjonjo ya Kivuyo hufai unataka aparamie habari? Hata mwanamke anahitaji manjonjo kabla ya mechi sasa kama wewe unaenda direct ndo maana wachangiaji wanakushambulia na kwa namna nyingine wanakufundisha.
 
Ni afadhari na Kivuyo huyu George Maratu ndo mtangazaji anayeniudhi kuliko wote nadhani kwa namna anavyovuta sauti yake hadi anaharibu I wish asiongezewe mkataba.
Sijawahi kuona mtangazaji anatia kichefuchefu kama huyu wallah
 
Vijana hao wa mtaa wa Twiga/Jangwani almaarufu kama WAKIMATAIFA leo wamekubali kuchezeshwa kwata na Matajiri wa Lubumbashi(TP El Mazembe) kwa kucharazwa goli moja bila majibu......in Hemeid Kivuyo's voice
Teh teh teh..........
 
Ukweli mie nakereka na mikogo ya huyu mtangazaji anapoanza kuripoti habari za michezo. Anaweza kulembalemba almost dak 2 kabla hajataja tukio lenyewe. Sina shaka na uwezo wake wa kazi ya kuripoti ila mikogo imezidi mpaka anaboa!
Huyo sio mtangazaji ni kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…