Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
yani kwenye kuanza habari yake mbwembwe zake kawachambua had I kina Plato.. jitahidi kesho usikose kuangalia itv habari na ombea yanga ishindeKasemaje jamani?Namkubali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani kwenye kuanza habari yake mbwembwe zake kawachambua had I kina Plato.. jitahidi kesho usikose kuangalia itv habari na ombea yanga ishindeKasemaje jamani?Namkubali sana.
Uwiiiiii jamani nimekosaje uhondo?yani kwenye kuanza habari yake mbwembwe zake kawachambua had I kina Plato.. jitahidi kesho usikose kuangalia itv habari na ombea yanga ishinde
Hata Sam Mahela kama anataka kulazimisha kitu fulani hivi unamuona kabisa he is trying hard badala ya kuwa mwenyewe tu na style yako bila kuongeza mikogo.Ni afadhari na Kivuyo huyu George Maratu ndo mtangazaji anayeniudhi kuliko wote nadhani kwa namna anavyovuta sauti yake hadi anaharibu I wish asiongezewe mkataba.
Sijawahi kuona mtangazaji anatia kichefuchefu kama huyu wallahNi afadhari na Kivuyo huyu George Maratu ndo mtangazaji anayeniudhi kuliko wote nadhani kwa namna anavyovuta sauti yake hadi anaharibu I wish asiongezewe mkataba.
Anaitwa moha yaani jamaa anamikogo balaa,alafu haogopi.unamjua yule jamaa wa kenya mwendesha kipind cha JICHO PEVU? basi ungemskiliza huyo kivuyo cha mtoto
Awe mbunifu, sio lazima aongee yale yale kila siku. Lazima utamsikia: "Timu hiyo kutoka mtaa wa yule mnyama mrefu na mpole..." au "Timu hiyo kutoka mtaa wenye pilikapilika jijini..."
Nimecheka kweli WallahSasa kama hizo timu siku zote ndio zinakaa mitaa hiyohiyo, akibadilisha akaongea vingine si atakua anadanganya???
Huyo sio mtangazaji ni kitukoUkweli mie nakereka na mikogo ya huyu mtangazaji anapoanza kuripoti habari za michezo. Anaweza kulembalemba almost dak 2 kabla hajataja tukio lenyewe. Sina shaka na uwezo wake wa kazi ya kuripoti ila mikogo imezidi mpaka anaboa!
Anafanya vizuri sana ila binafsi ningependa hata anapokuwa live kny camera amantain masimulizi yake maana huwa anabadilika ghafla.Kivuyo ana kipaji, watu huvutiwa sana na usimulizi wake