Mikojo ya wajawazito yawa dili mkoani Dar

Mikojo ya wajawazito yawa dili mkoani Dar

Kinyesi nacho kinunuliwe na kampuni za kutengeneza mbolea.
😎
Mkojo WA kiume unatumia kukuzia mboga inatumika kama ' organic fertilizer' badala ya NpK. Uganda wamegundua kuwa mahindi yanastawi Sana yakimwagiliwa mkojo. Ingia you tube watu wanajaza mikojo kwenye madumu, ni marufuku kupoteza hiyo mbolea.
 
Back
Top Bottom