Mikongoraa ni nini? Na ina effect gani?


andate sisi pia tukiwa wadogo kule arusha tulikula sana mikongoraa wakati wa kuchunga mbuzi ilikuwa na test kama uliyoisema na sikuwahi kujua kama ina tatizo!
 

mkuu hii ina uthibitisho kibaolojia?
 
mkuu andate hiyo umeprove mwenyewe au?

Hii ni kutokana na wadada wa jirani ambao waliokuwa wamenizidi umri kwa miaka 8 hadi 10 wakati huo nipo shule ya msingi std 7, walikuwa wananiambia kwa umri wangu sikutakiwa kuwa na kitu kubwa hivi(hawa wadada ni kama walikuwa wananibaka aisee), hapo nikaingia hofu nikaacha kula mikongoraa, niliila sana kuanzia nipo std 4.
 

Usiniogope, Mi sitakukula Mr Rocky.......hata Erickb52 analijua hilo.
 
Last edited by a moderator:
andate sisi pia tukiwa wadogo kule arusha tulikula sana mikongoraa wakati wa kuchunga mbuzi ilikuwa na test kama uliyoisema na sikuwahi kujua kama ina tatizo!

nilikuwa napenda kuila kwa sababu ya ladha yake, baadae nikaanza kusikia hayo maneno.
 
Kuna mtu ameshawahi kukutana na hao wanaouza hii kitu?
 
Hamna anayefahamu for sure nani anauza hiyo hapa dar es salaam?
 

Ipo home ilioteshwa na babu yabgu kabla sijazaliwa,kazi ya mkongoraa ni kusafisha kibofu na mishipa ya uzazi na sii kukuza dushe.
 
Last edited by a moderator:
ina kitu gani mkuu kinachosafisha kibofu, halafu je kwa kina mama haina effect yoyote?

Haina effect na inasafisha njia zote za uzazi..nebda kapate ile ya umasaini ambayo haijakuzwa eneo lenye maji mengi thn tafuna na umeze maji yake...utaniambia utakavyojifeel.
 
Je unafahamu inapatikana wapi kwa hapa dar es salaam?

Mkuu sidhani kana dar es salaam inapatikana ila Arusha sehemu nyingi zipo na zinaota zaidi umasaini na meru,HAZINA MADHARA KABISA ZAIDI YA FAIDA nilianza kutafuna tangu nikiwa mdg na inafanya mishipa ya uzazi iwe imara kama punda.
 
Reactions: apk
Ukianza kuitafuna inawasha mdomoni halafu baada ya hapo itaanza kuwa tamu...nimeikumbuka ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…