Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Mikongoraa tumeila sana MOSHI tukiwa wadogo ina ladha fulani mdomoni kama muwasho si muwasho utamu si utamu, kama aina fulani hivi ya dawa ya mswaki. Mimi nilikuwa napenda ladha yake.
Watu wanasema inaongeza ukubwa wa dodoki, na nadhani kuna ukweli fulani manaake....
andate sisi pia tukiwa wadogo kule arusha tulikula sana mikongoraa wakati wa kuchunga mbuzi ilikuwa na test kama uliyoisema na sikuwahi kujua kama ina tatizo!