Hiyo kitu inasafisha mishipa ya uzazi ususani ukiwa unatumbo linalonguruma au kitu kingne kinachoweza kupunguza nguvu za kiume,kimsingi haiongezi nguvu za kiume ila inasafisha hivyo vinavyofanya nguvu kupungua na kurudi kama zaman,kama ingekuwa na madhara basi wazazi wetu wangekuwa wameshayapata
Dah ingekuwa inapatikana Dar ingekuwa poa sana na hivi sina connection yoyote arusha
Hapa penyewe nipo nakula mkongoraa. Binafsi sijui kazi yake, ila niliona watu wanakula na mimi nikaanza kula. Huwa naipenda sana ladha yake ya uchungu kwa mbali, ya muwasho mdomoni na utamu wake. Lakini pia napenda sana harufu yake.Mikongoraa tumeila sana MOSHI tukiwa wadogo ina ladha fulani mdomoni kama muwasho si muwasho utamu si utamu, kama aina fulani hivi ya dawa ya mswaki. Mimi nilikuwa napenda ladha yake.
Watu wanasema inaongeza ukubwa wa dodoki, na nadhani kuna ukweli fulani manaake....