Ndio hivyo mimi ninavyojuainawezekana lkn Mkuu
Uyo ndo mmiliki wa JF mkuuWanajamvi Habariiiiiiii....
Nadhan sio mim tu jaman! yaaan koment nying humu jukwaan utaona mwishon mtu anamtag Mahondaw yaaaan cc: Mahondaw
Wenye ufaham naomba mnijuze kidogo huyu Mahondaw ndo nani?! Ili nasi tupate kumjua au kuelewa maana ya yeye kuwa tagged kwa komenti mbalimbali!
Nawasilisha!
Eee bhana ee Mkuu...So hapa mbuzi kafia kwa muuza supu naona!
Asante kwa kunifahamisha hilo pia mkuu.