Mikono juu kama kila Komenti Unaona cc: Mahondaw

Mikono juu kama kila Komenti Unaona cc: Mahondaw

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wanajamvi Habariiiiiiii....

Nadhan sio mim tu jaman! yaaan koment nying humu jukwaan utaona mwishon mtu anamtag Mahondaw yaaaan cc: Mahondaw

Wenye ufaham naomba mnijuze kidogo huyu Mahondaw ndo nani?! Ili nasi tupate kumjua au kuelewa maana ya yeye kuwa tagged kwa komenti mbalimbali!

Nawasilisha!
ugeni unakusumbua..utazoea tu subiri.
 
Back
Top Bottom