Nilitembelea website ya EAC, nikashangazwa kuona banner yake inaonyesha mikono sita iliyo shikana lakini ni ya wazungu, sasa siwabagui wazungu, lakini EAC ikiwa ni ya waafrika itakuwaje hata viashiria kama hivi havitiwi maanani, ama inaashiria vile tulivyo adhiriwa na ukoloni hadi hivi leo tumejisahau