Mikono ya Wazungu

Mikono ya Wazungu

Namtih58

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
234
Reaction score
46
Nilitembelea website ya EAC, nikashangazwa kuona banner yake inaonyesha mikono sita iliyo shikana lakini ni ya wazungu, sasa siwabagui wazungu, lakini EAC ikiwa ni ya waafrika itakuwaje hata viashiria kama hivi havitiwi maanani, ama inaashiria vile tulivyo adhiriwa na ukoloni hadi hivi leo tumejisahau
 
Si wazungu, ni Watutsi, Wahangaza, Wanyankole, Wabondei na Ma-Albino.

On a serious note haiko clear ki hivyo ingawa huwezi kusema ni watu weusi, kuna source nyingine?
 
Siyo wazungu, ni mikono ya mafisadi waliokula mpaka ngozi imewiva na kufanana na mzungu
 
Ni mambo ya clipart hayo, usiisome sana hiyo picha mkuu!!
 
Back
Top Bottom