Habari ndugu wadau.
Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi.
Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo mazito sana.Kimsingi watanzania hatujazoea kusema ukweli ata kama ni Mchungu, tumezoea kupaka rangi upepo.
Jamaa aliwataja waarifu wengi ambao wanapaswa kukamatwa na kupelekwa the heague.
Ninachotaka wadau mnisaidie ni pale alipomsafisha Mzee mwinyi kuwa mikono yake ni misafi . Inawezekana yupo sahihi. Lakini alipofika awamu ya 6 Mzee TUNDU alishikwa na kigugumizi na hakufafanua kama awamu ya 6 ni wasafi au na wao wameshamwaga alichosema ni kuwa tuwemakini.
Hapa aliniacha njiapanda.