Jamani kwa kweli hali ni mbaya sana kwa wanafunzi,vyuoni.Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mdogo wangu aliyepo Udsm,idadi kubwa ya wanafunzi wanashindwa hata kuhudhuria vipindi madarasani na katika maeneo yao ya kusomea(maarufu kama vimbwetani)kwa sababu ya njaa.Wengi wanabaki ktk vyumba vyao huko Mabibo hostel na Main campus wakiwa wamelala!!Ina sikitisha sana.