Mikopo bado ni shida vyuoni, pesa hakuna na hatuoni dalili

Mikopo bado ni shida vyuoni, pesa hakuna na hatuoni dalili

eddy edo

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
44
Reaction score
10
Wenye kuona huruma na wawasaidie wanafunzi kufikisha malalamiko yao eneo husika maana naona serikali iko kimya na iko busy dodoma kutafuta miaka mingine kumi ya kula.
 
Jamani kwa kweli hali ni mbaya sana kwa wanafunzi,vyuoni.Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa mdogo wangu aliyepo Udsm,idadi kubwa ya wanafunzi wanashindwa hata kuhudhuria vipindi madarasani na katika maeneo yao ya kusomea(maarufu kama vimbwetani)kwa sababu ya njaa.Wengi wanabaki ktk vyumba vyao huko Mabibo hostel na Main campus wakiwa wamelala!!Ina sikitisha sana.
 
Kaka nihatari ckumoja apa chuoni kuna dada alizimia kisa njaa..
Ni hatari
 
Kuna wanaodai pspf hawajalipwa gawiwo lao la miezi mitatu kutokea January to March mpaka leo tunaelekea June. Serekali imechoka
 
Jitahidini mufanye kampeni kuondoa hii dubwasha cccm
 
Ruaha Cathoric University (RUCU). Iringa Wamegoma leo kushinikiza wapewe hela zao. Wamepigwa sana na police.
 
Back
Top Bottom