Utaamka vipi hali atushirikishwi kwenye kukopa bali kwenye kulipaKweli , ukikopa ule mradi uliokopea lazima urudishe ule mkopo, la sivyo mtu anaiweka nchi rehani.
Wananchi tuamke.
Kukopa si vibaya ila tupange mipango vizuri ili mkopo ulipwe.
Wachina si wenda wazimu kumwaga pesa bure.
Well said mkuu, mfano mzuri unahusu deni la reli ya TAZARA linalo fikia matrillion ya TSh, hivi sasa huu ni karibu mwaka wa 50 (hamsini) tangu watukopeshe fedha zao, mpaka sasa hatuja warudishia hata senti tano ya mkopo wao na wala hakuna dalili kwamba Serikali za Tanzania na Zambia zina mpango wa kuanza kupunguza walao deni - hakuna!! Hii ni wazi tunataka kutapeli Serikali ya Wachina fedha za walipa kodi wao.Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.
Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai.
Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba aliyemkopesha amsamehe baada ya miaka mitano!
Nimeupenda msimamo wa China na mikopo.
Wachina wao wana msimamo kuwa usilete longo longo baada ya kula hela zetu, ama sivyo tunachukua dhamana ya mkopo.
Mbona hata mabenki yetu yanafanya vivyo?
Ukishindwa kulipa mkopo dhamana inaingia sokoni.
Sasa Serikali au wananchi wakilalamikia China, kwani hawalijui hilo?
Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.
Sheria inabidi zibadilike, kukopa bila kujua unalipaje huyo kiongozi ashitakiwe.Utaamka vipi hali atushirikishwi kwenye kukopa bali kwenye kulipa
SCARY TRUTH.
Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.
Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai.
Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba aliyemkopesha amsamehe baada ya miaka mitano!
Nimeupenda msimamo wa China na mikopo.
Wachina wao wana msimamo kuwa usilete longo longo baada ya kula hela zetu, ama sivyo tunachukua dhamana ya mkopo.
Mbona hata mabenki yetu yanafanya vivyo?
Ukishindwa kulipa mkopo dhamana inaingia sokoni.
Sasa Serikali au wananchi wakilalamikia China, kwani hawalijui hilo?
Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.
Tunaongea kitu kile kile.Tatizo sio kukopa bila kujua utalipaje mkopo. Tatizo letu na Nchi nyingi Za Afrika ni kuingia makubaliano ya mikopo bila kuisoma na kuilelewa kwa umakini. Kifupi ukienda kule jamaa wanahakikisha wanakuweka sawa wewe au wote mnaokwenda ku saini hayo makubaliano mpaka mnajiona kama mmependelewa kupewa huo mkopo. Mnaacha kusoma vizuri, au kubisha mkiona clause za kipuuzi kwa kuona mtawachefua wakopeshaji, hapo sasa ndio yanakuja ya Uganda na Zambia.
Hakika China wapo sahihi kabisa.Mkopo dawa yake ni kulipa si longolongo, China ni wakweli.
Mama katoka huko juzi , na Leo Zuhura Yunus anatamba IkuluMentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo.