Labda nikuulize kwanza je diploma ni elimu ya juu?
Baada hapo utakuwa umejitambua wewe inakuhusu au la
Andika kilefo cha HELSB utapata jibu
natumaini mtu wa diploma anauelewa wa kutosha wa kuelewa mambo kilefu cha bodi yenyewe unaeleza wazi una husika na nini hii inatupa wasiwasi na ubora wa wahitimu wetu kama wana shindwa kuelewa mabo madogo ambayo yapo waziutaarabu unahuu mkuu si umjibu tu mwenzio au huna sifa za kusoma???