mikopo diploma

mikopo diploma

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
148
ivi sie watu wa diploma ya IT ..HESLB haituhusu au
 
Labda nikuulize kwanza je diploma ni elimu ya juu?
Baada hapo utakuwa umejitambua wewe inakuhusu au la
 
Diploma hawapewi mikopo ila wanalipiwa na serikali kwa wale wote waliofaulu na kujiunga na vyuo vya serikali kama ATC,DIT na Mbeya baada ya kumaliza elimu ya secondary na kufaulu na hiyo (HESLB) Higher Education Students' Loans Board kwa ajili ya higher education baada ya kumaliza diploma yako.

Jitahidi ukimalioza hiyo diploma na kufaulu basi unaruhusiwe kuomba mkopo wa HESLB
 
utaarabu unahuu mkuu si umjibu tu mwenzio au huna sifa za kusoma???
natumaini mtu wa diploma anauelewa wa kutosha wa kuelewa mambo kilefu cha bodi yenyewe unaeleza wazi una husika na nini hii inatupa wasiwasi na ubora wa wahitimu wetu kama wana shindwa kuelewa mabo madogo ambayo yapo wazi
 
Back
Top Bottom