Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 312 Mar 31, 2012 #1 naomba kuuliza kama bodi ya mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) huwa inatoa mikopo kwa watu wanaotaka kuchukua Master. Kama wanatoa hiyo mikopo kwa Master je, utaratibu wa ku apply ni sawa na wa Bachelor? na vp kuhusu vigezo!!
naomba kuuliza kama bodi ya mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) huwa inatoa mikopo kwa watu wanaotaka kuchukua Master. Kama wanatoa hiyo mikopo kwa Master je, utaratibu wa ku apply ni sawa na wa Bachelor? na vp kuhusu vigezo!!
R-CHUGA Member Joined Mar 23, 2012 Posts 77 Reaction score 8 Mar 31, 2012 #2 Hilo swala sijawahi kusikia kabisa Master unajitegemea mwenyewe.
MKOBA2011 Senior Member Joined Jul 12, 2011 Posts 142 Reaction score 27 Mar 31, 2012 #3 Wanatoa kwa walimu wa vyuo vikuu kama uupo huko unaenda wanakupa utaratibu
Seaman88 JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 417 Reaction score 156 Mar 31, 2012 #4 Kwa wale wa masters hawatoi mikopo,mikopo ni kwa degree ya kwanza tu.