Mikopo Elimu ya juu!!

Mikopo Elimu ya juu!!

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
1,253
Reaction score
312
naomba kuuliza kama bodi ya mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) huwa inatoa mikopo kwa watu wanaotaka kuchukua Master. Kama wanatoa hiyo mikopo kwa Master je, utaratibu wa ku apply ni sawa na wa Bachelor? na vp kuhusu vigezo!!
 
Hilo swala sijawahi kusikia kabisa Master unajitegemea mwenyewe.
 
Wanatoa kwa walimu wa vyuo vikuu kama uupo huko unaenda wanakupa utaratibu
 
Kwa wale wa masters hawatoi mikopo,mikopo ni kwa degree ya kwanza tu.
 
Back
Top Bottom