Mashirika ya kukuposha yamegoma sasa nchi kama China zimekaa mkao wa kula. Zinasubiri Mama na familia yake waende kupiga magoti na kuomba pesa za miradi yao hasa ile ya kifisadi.
Hivyo tutaona uuzaji wa bandari ya bagamoyo, mbuga, migodi, haki za uchimabji wa mafuta, uendeshaji wa airport , treni yetu ya kisasa na miradi mingine mikubwa.
Hata mradi wa mwendo kazi na mbwawa la Nyerere wanatafuta mbinu za kuingiza kampuni zao na wawekezaji ili waweze kupata pesa huko. Rostam mfano ndiye atakuwa anatoa pesa za gas za mabasi ya mwendo kasi kwa bei ambayo wenyewe ndiyo watapanga!.
Suluhisho pekee sasa ni Mama Samia kujiondoa kuiokoa nchi bila hivyo tutakuwa na miaka mitano migumu sana na ya uza uza. msishangae wachina wakawa kama watawala wetu kama wapya.