Zinatumika kununulia magari namba namba E kwa wingiNdugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi wakiteseka. Serikali isije kuwa inakopa kopa hovyo kwa maslahi yao binafsi.
Ninaamini mikopo hii kama itakuwa inakopwa na watawala kwa maslahi yao binafsi nchi nzima haita husika kulipa mikopo hiyo sikuna mamlaka za haki za kimataifa, basi mikopo hiyo kama itaendelea kukopwa na serikali kwa mgongo wa watanzania maskini kusudi wajinufaishe wenyewe bila ushiriki wowote wa wananchi wala utekelezaji wowote wenye uwazi basi watanzania hawatokuwa na sababu ya kulipa mikopo hiyo.
Ninatamani niende kwenye benki kuu ya dunia
Ndiyo maana hii serikali haitaki Raisi ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi, picha la kindezi lina anzia hapo tuu. Yaani mpaka hapo unajua hii ni inchi ya aina gani wala hakuna haja ya kufika kwenye katiba mbali kote huko.Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi wakiteseka. Serikali isije kuwa inakopa kopa hovyo kwa maslahi yao binafsi.
Ninaamini mikopo hii kama itakuwa inakopwa na watawala kwa maslahi yao binafsi nchi nzima haita husika kulipa mikopo hiyo sikuna mamlaka za haki za kimataifa, basi mikopo hiyo kama itaendelea kukopwa na serikali kwa mgongo wa watanzania maskini kusudi wajinufaishe wenyewe bila ushiriki wowote wa wananchi wala utekelezaji wowote wenye uwazi basi watanzania hawatokuwa na sababu ya kulipa mikopo hiyo.
Ninatamani niende kwenye benki kuu ya dunia
WEWE UNAONA MISAFARA YA MTU MDOGO KAMA MAKONDA MAGARI ZAIDI YA 30 NDIO MIKOPO INAKOPOTELEA MANOTI ANAYAGAWA KAMA NJUGU NDIO MIKOPO HIYONdugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi wakiteseka. Serikali isije kuwa inakopa kopa hovyo kwa maslahi yao binafsi.
Ninaamini mikopo hii kama itakuwa inakopwa na watawala kwa maslahi yao binafsi nchi nzima haita husika kulipa mikopo hiyo sikuna mamlaka za haki za kimataifa, basi mikopo hiyo kama itaendelea kukopwa na serikali kwa mgongo wa watanzania maskini kusudi wajinufaishe wenyewe bila ushiriki wowote wa wananchi wala utekelezaji wowote wenye uwazi basi watanzania hawatokuwa na sababu ya kulipa mikopo hiyo.
Ninatamani niende kwenye benki kuu ya dunia
Sasa badala ya mimi kwenda kausha damu si bora niunge juhudi kama Lucas🤓WEWE UNAONA MISAFARA YA MTU MDOGO KAMA MSKONDA MAGARI ZAIDI YA 30 NDIO MIKOPO INAKOPOTELEA MANOTI ANAYAGAWA KAMA NJUGU NDIO MIKOPO HIYO