Mikopo ishakuwa mingi sasa kazi inayoendelea ni madebe.

Mikopo ishakuwa mingi sasa kazi inayoendelea ni madebe.

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Inaposemwa kazi iendelee na nyinyi mjiongeze ,utaziona kazi nyingi sana ambazo CCM walikuwa nazo wakati wa Magu na sasa zinasemwa kazi ziendelee au ziendelezwe.
1) Kama uliona unaonewa basi kazi ya kukuonea itaendelea
2) Kama uliona mambo yanakunyookea basi yatazidi kukunyookea
3) Kama waliiba kura basi mjue ile kazi inaendelea na hii inakuwa kazi ya kufa mtu .

Ongezea kazi ambazo unahizi zilikuwepo kwenye uawala wa CCM chini ya MWEVULI wa CCM.
 
Back
Top Bottom