Umesoma vizuri tarehe za hayo matangazo?
Hizi pesa huwa wanagawana jamaa wa utumishi kwanza zikibaki ndio wanapewa wengine.Hii ni mifano ya matangazo ya miaka iliyopita kwa halmashauri chache. Hizi pesa huwa zinakuja kila halmashauri
Riba zinayo asilimia 02 na wanakata riba yao kabisa kinachobaki ndo wanakupa tatizo wanatoa hela ndogo sana huwezi pata zaidi ya milioni tano