Mikopo kandamizi ya mabenk inakwamisha uchumi

Mikopo kandamizi ya mabenk inakwamisha uchumi

John makonda

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
269
Reaction score
253
Mabenki ya yetu hayako katika kusisimua uchumi kwa kukopesha mitaji Bali yapo katika kupata faida kubwa ndiyo maana wakopeshwaji wengi mikopo ni ndoano ya kufilisika au kusaidia mabenki kuwa na ukwasi wa kutosha kwa jinsi wanavyofanya sio haki na hakuna afya katika uchumi.

Unapomkopesha mteja anakukabidhi dhamana ya Mali yake unampa MKOPO km wa mwaka mmoja sh 1,000,000 ukiongeza riba% 18 gharama za mkopo bima nk%2 jumla yake ni sh1,200,000 kwa mwaka mkopo wako unagawanywa kwa miezi 12 kila mwezi unatakiwa ulipe sh 100,000 kwa lugha ya kuwa upunguze mkopo kumbe ni masharti magumu yatakayo kulazimisha ulipe kiasi hicho lazima.

Ole wako ukose riba inaongezeka kwa kuto lipa kwako hapo ndipo Kuna mchezo mbaya miezi ya mwanzo utakua unarejesha mkopo vyema kwa kua unazo pesa za mkopo mwishowe ni kukwama je? Ni haki kwani uliingia mkataba wa kuwa na mkopo kwa mwaka mmoja.

Sasa mkopo wa mwezi unatoka wapi njia hiyo haina tija kwa uchumi Kama alikopa kwa kuweka dhamana ya mkopo atakao kua nao kwa mwaka aachwe na mkopo kwa mwaka alafu arejeshe mkopo kwa wakati Kama atashindwa ndipo afilisiwe au arejeshe mkopo na riba ya kuchelewesha mkopo Sio sawa yupo katika muda analazimisha kulipa wakati Sio wakati wa kulipa mkopo Kama atapenda kupunguza ni hiyari yake kwakua Yuko katika mda wa kuendereza biashara Sio kulipa mkopo kwani hajaiva kurejeshwa mfumo huo uangaliwe upya
 
Kila mwisho wa mwaka wanatangaza faida kubwa walizopata, ni zaidi ya mabilioni ya fedha huku wateja wao wakifilisika Kila kitu

Nyumba, viwanja, magari, vitu vya thamani vinachukuliwa halafu wanaviuza kwa Bei poa ya hasara ili wamkomeshe mkopaji
 
Back
Top Bottom