Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Bdoo. .ila kwenye web ya chuo udom wameongeza majina{third batch}. .bas watoe utaratbu tujue, ila mim jpil nasepa wadau
 
Nahuko chuo nenda kaandike hivihivi!
Kama umeweza kuandika "x" imeshindikana nini kuandika "s"!!??

Ile ni xpexho program na walihaid lazma watoe mkopo ili wanafunz waweze kujkmu xo 2waxubr wafanye yao
 
hiv ukilipa ada zao then bodi ya mikopo wakatoa majina je, ile hela yako ya ada wanakurudishia ama??
 
hiv ukilipa ada zao then bodi ya mikopo wakatoa majina je, ile hela yako ya ada wanakurudishia ama??

Kwa kweli serikali yetu huwa inasahau ni kitu gani imeahidi kwa wahusika. Kwa mfano, mwezi May 2014 wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi walitoa tangazo linalohusiana na kuomba mafunzo ya ualimu cheti kwa elimu ya shule za msingi na stashahada ya ualimu sekondari lakini mwisho wa siku wakabadilisha mfumo bila kufanya maandalizi ya kutosha na kutoa waraka wa kuitaarifu jamii. Kwa hiyo hata suala la kutoa mkopo kwa wanafunzi waliodahiliwa kwa mafunzo ya stashahada maalum ya ualimu msingi na sekondari kwa masomo ya sayansi, hisabati na ICT inaweza kupigwa chini kwani ushahidi upo na kila anao, wanafunzi wengi wa shahada ya kwanza mwaka wa masomo 2014/2015 wamekosa tena wengine wa masomo ya sayansi. Kama vipi tujipange kwa hela zetu wenyewe. Ni mtazamo wangu wadau!
 
"Heslb"Guidelines and criteria for student admted to parsue special diploma in education in science and mathematics udom. . Kwa style hii kweli tena wasiwape wadau! Kweli hii Tz
 
"Heslb"Guidelines and criteria for student admted to parsue special diploma in education in science and mathematics udom. . Kwa style hii kweli tena wasiwape wadau! Kweli hii Tz
Wapigieni simu au tembeleeni ofisi zao kupata muafaka wa swala hili,naona wako kimya site zao hazisemi lolote hasa HESLB mwanzaoni waliambiwa kureport trh 18/10 wakasogeza tena had trh 8/11 nikajua walikua wakishughulikia swala hili kumbe wapi!
Kesho ndo siku ya kureport sasa sijui watawapokeaje,nina mdogo wangu kesho nimemwambia aende tu asikie wataawaambiaje. Kwenye admission letter wameweka creteria zilezile za watu wa degree :-

You are required therefore, to report to the College of Education at
The University of Dodoma on Saturday 18th October, 2014 without failure. Orientation programme
will start on Monday 20th October, 2014 at the University of Dodoma, College of Education.On
reporting you are required to REGISTER into the specified programme after showing the
evidence that you have fulfilled the following:
  1. Payment of Tuition and Direct University fees as specified in the fees structure attached
    (Payment of Tuition fees may be made whole or in two equal installments in each semester;
    all other costs must be paid in full before registration
  2. Submission of original form six (6) and form four (4) examination
    results certificates. If you fail to produce original certificates or
    form six (6) NECTA Results Slip ( For 2014 form Six Leavers ONLY)
    you will not be registered.
  3. Submission of Original birth certificates(affidavits are not accepted)
  4. Submission of 3 copies of duly completed Registration form.
  5. Submission of dully completed Medical Examination form by a
    Doctor of Government Hospital.
 
yan mm mpaka sasa cjajua hatma yangu ya kuripoti hyo kesho maana hela bado cjatuma hadi sasa.
 
Mi nxhaanza kua na wasiwasi juu ya mkopo kwa diploma ya ualimu chuo kikuu cha dodoma, hivi inawezekana bodi ya mikopo wametusahau au?
Sababu mi bado cjajua unawezaje kurpot chuoni wakati bodi ya mikopo hawajatoa pesaaaa? Ebu mwenye taarfa mpya anijulxhe
 
Mi nmepata kitu kipya mda sio mrefu, namba ya mdhamin ambayo nliijaza kwenye fomu ya bodi ya mikopo imeingia sms inayosomeka "Benki ya CRDB Tawi la UDOM inakupongeza kwa kupata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma. Tunakutakia masomo mema katika kipindi chote utakapokua 'some text missing'" xo bdo cjaielewa vzuri, ebu na nyie wadau waulzeni wale ambao mlitumia namba zao kama wadhamin alaf tujulxhane
 
kwan nyie hamjatumiwa sms za nmb ncrdb? matumain yapo wajamen twenden chuon
 
Mim na washkaj zangu watatu tumetumiwa, text kutoka CRDB na NMB udom. .nikameza na mate
 
Mimi nimepokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu kutoka NMB na CRDB. Baada ya dakika chache nikapata ujumbe mwingine kwenye email inbox yangu kutoka NMB. Hapo nilipata matumaini ya kupata mkopo kutoka HESLB
 
Dah. .wadau mliopo safarini kwenda udom au ambao taar mmeshafka mtujuze kitakachojiri wakati wausajili kuhusiana na mkopo. .binafsi jumapil ndo sikuyangu yakuja udom,
 
Dah!.. ka vp pigeni chini muendelee na ishu yenu street bhana! Maanake c wnawazngua?
 
Dah!.. ka vp pigeni chini muendelee na ishu zenu street bhana! Maanake c wnawazngua?
 
Oyaa mazeee yani wadau wamenambia hata direct cost haulipi. .dah kweli hii wameijali sana, washkaj zangu wameshasajiliwa na wapo rum mda huu, tehtehteh thumb up kwa serkal ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…