Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Oyaa mazeee yani wadau wamenambia hata direct cost haulipi. .dah kweli hii wameijali sana, washkaj zangu wameshasajiliwa na wapo rum mda huu, tehtehteh thumb up kwa serkal ya ccm

mwana acha utan bwana, watu wasijekwenda bla direct cost halafu mambo yakawa mengine hebu tupe ukwel basi
 
kwel nimeamin, kuna mdogo wangu kaniambia wanasajiliwa bure na kwale waliokwaishakulipia benki watarudishiwa.
 
Nipo room saiv social block 12 kila kitu bure waziya!
 
nilikuwa nazan utan kumbe kweli
kwa hyo maela yote nmeweka takon
acheni ntumie mpaka boom likuje nmeponda raha.
 
Aman tu, haudaiw hata jerooooo bt kama ulxhalpa kuna utaratbu wa kuruduxhiwa pexa yako.
yan UDOM ni raha xanaaaa
 
Masomo yameshaanza ama bado!? Na kama yameanza kuna jumla ya masomo mangapi na unaweza kunitajia kwa majina yake!?
 
habr zenu wana jf. .naomben kufahamishwa majina ya waliomba mikopo kama yameshatoka, manake leo tarh 2 bado kimya na tarh 8 nikuripoti, msaada jamani,
yaani sio hapo tu kuna chuo kimoja kinaitwa st.joseph university in tanzania-arusha campus nacho kina hiyo programme ya miaka mitano nao waliomba mikopo cha ajabu na cha kushangaza majina yalitoka ya watu 3 tu na waliobakia wamehoji hilo suala wanachojibiwa ni kwama hawana haki ya kuuliza chochote
 
Mahela yako ubaoni block 13 apa colej ya social udom. .baada ya wiki mbili hivi navuta PC, raha jamani tehteh. .
 
Back
Top Bottom