umefanya mtihan wa form 6 mwaka gan?kumbuka usiambatanishe vtu vfuatavyo ktambulisho cha kaz,salary slip usiseme kama ww n mwajiriwa utapata,mm nmeanza kaz ualim mwaka 2008 naingia mwaka wa pl nalamba kama milion 3,965,500 sawa na asilimia 90% Ujanja wako ndo utakusaidia...!
nimemaliza 2009 na nimeanza kazi mwaka jana ila next year nataka kuomba chuo,sasa c unajua pesa tatizo nilikuwa cjui cha kufanya.nashukuru sana kwa kunifumbua macho.naomba zaidi ushauri wako.