Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Habari ya jioni.
Yes, ukitaka kupoteza marafiki, jamaa ndugu na kadhalika wewe kopesha pale ambapo wanahitaji pesa. Kuanzia last week nimeset muda wa kupigia wadeni wangu ambao walikuwa na shida ya pesa na walipo omba ni waazime nilifanya hivyo kwasababu ya mahusiano tuliyonayo na wapo wa 5. Uzuri wote waliahidi kurudisha baada ya wiki mpaka mwezi 1. Kiasi hicho kinafika kwa kila mtu kinaanzia Tsh 50k mpaka 200k.
Baada ya mwezi mmoja nimeanza kuwatafuta ili wanirejeshee changu. Kiufupi ni mmoja tu ndio kapokea simu yangu na kuniomba radhi kwa kuchelewesha na akaomba tena nimuongezee wiki 1 [emoji28].
Wengine wote hawapokei simu wala kujibu sms na nimeisha watafuta zaidi ya mara 4 kwa wakati tofauti tofauti.
Ukitaka kukosana na watu wakopeshe.
Kuanzia sasa hata kama mtu anaazima 10k, aende micro finance na ndio litakuwa jibu.