Mikopo kwa jamaa, chanzo kikuu cha kuvunja ujamaa

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
Habari ya jioni.
Yes, ukitaka kupoteza marafiki, jamaa ndugu na kadhalika wewe kopesha pale ambapo wanahitaji pesa. Kuanzia last week nimeset muda wa kupigia wadeni wangu ambao walikuwa na shida ya pesa na walipo omba ni waazime nilifanya hivyo kwasababu ya mahusiano tuliyonayo na wapo wa 5. Uzuri wote waliahidi kurudisha baada ya wiki mpaka mwezi 1. Kiasi hicho kinafika kwa kila mtu kinaanzia Tsh 50k mpaka 200k.

Baada ya mwezi mmoja nimeanza kuwatafuta ili wanirejeshee changu. Kiufupi ni mmoja tu ndio kapokea simu yangu na kuniomba radhi kwa kuchelewesha na akaomba tena nimuongezee wiki 1 [emoji28].
Wengine wote hawapokei simu wala kujibu sms na nimeisha watafuta zaidi ya mara 4 kwa wakati tofauti tofauti.

Ukitaka kukosana na watu wakopeshe.

Kuanzia sasa hata kama mtu anaazima 10k, aende micro finance na ndio litakuwa jibu.
 
Sina chakufanya, zaidi naona nitumie nguvu na vitisho kiasi wanirudishie japo nusunusu na baada ya hapo nalazimika kujifunza kusema "Sina"inaumiza sana akili unapoona wale walio wako ndio wanaokuumiza,kadri unavyowaamini na kujitahidi kuishi nao kwa upendo ndivyo wanavyojisahau na kukutumia kwa uhuru.
 
Mkuu, kukopesha pesa watu, tena wabongo, ni kutengeneza maadui na kupoteza marafiki,
Watu wanahisi kulipa ni kuonewa 😂😂😂
 
daaaaah Kuna jamaa frani tulikua tunaheshimiana sana, siku Moja ana nipigia jioni ana niambia nimuazime laki mmoja.ata rudisha week ijayo(mshahara utakua tayari).
Kiufupi sikulipwa na niliambulia matusi, sms zake ninazo Hadi Sasa sijafuta.
 
Mkuu, kukopesha pesa watu, tena wabongo, ni kutengeneza maadui na kupoteza marafiki,
Watu wanahisi kulipa ni kuonewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa. Shida ni kwamba usipofanya hivyo tena unaharibu. Ila kwasasa bora waishe.
 
daaaaah Kuna jamaa frani tulikua tunaheshimiana sana, siku Moja ana nipigia jioni ana niambia nimuazime laki mmoja.ata rudisha week ijayo(mshahara utakua tayari).
Kiufupi sikulipwa na niliambulia matusi, sms zake ninazo Hadi Sasa sijafuta.
Pole sana. Ndio Juma Nature aliimba Ubinadamu Kazi
 
Sina chakufanya, zaidi naona nitumie nguvu na vitisho kiasi wanirudishie japo nusunusu na baada ya hapo nalazimika kujifunza kusema "Sina"inaumiza sana akili unapoona wale walio wako ndio wanaokuumiza,kadri unavyowaamini na kujitahidi kuishi nao kwa upendo ndivyo wanavyojisahau na kukutumia kwa uhuru.
Sasa hata ukitumia kitisho bado mambo hayaendi. Ukizingatia wapo mbali.
 
Sikuhizi sikopeshi, nachokifanya km ni pungufu ya 50,000/ nakupa hata ukihaidi kulipa, usipolipa fresh tu, na ntakuchukulia hvyo hvyo tu. Zaidi ya 50,000 sikupi ntakuambia tu Sina hela
 
kitendo tu cha kufikiria kumkopesha ndugu ni tatizo uko nalo tayari.

ndugu anapewa hela kwa ticket ya mkopo,akirudisha vyema asiporudisha ni sawa pia ila kafunga njia za kupewa tena,wala usimkasirikie.
 
Utaijua tabia ya Rafiki Yako hadi siku umkopeshe Hela.

Kuna mtu nimemkopesha kahela Fulani kadogo sana na alikuja kunifata hadi ofisini na akaahidi kunirudishia baada ya mwezi mmoja

Ilikuwa November mwaka Jana hadi Leo hajarudisha dizaini kama Hana habari na Niko nae ofisi Moja.

Nimeidai were hadi nimegive up ila nimeamua kuachana nayo nimeapa haitokuja tokea nikamkopa Wala kumchangia Hela tena.
 
Sasa hata ukitumia kitisho bado mambo hayaendi. Ukizingatia wapo mbali.
Hata kama wako mbali ujumbe utawafikia na hata kama watanipuuza na wasinilipe au wanilipe kwa namna watakavyo wao sawa tu,nakubali nimepoteza tayari la muhimu nimeshajifunza kwamba "MKOPO NI ADUI WA MAHUSIANO SITASHIRIKI TENA"
 
Back
Top Bottom