Mikopo kwa njia ya Mtandao

Mikopo kwa njia ya Mtandao

Xanja shija

New Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari Wana JamiiForum?

Nilikuwa nahitaji kufahamu je ni sahihi kwa watu wanaokopshe kwa njia ya app kuhack phonebook ya mteja na kuanza kuwatumia watu walio kwenye phonebook ya mteja na kusambaza taarifa za mteja kwa kushindwa kulipa deni ndani ya siku walizokubaliana?

Na isitoshe wanaotumiwa sms ni watu ambao hawapo kwenye udhamini wa mteja/mkopaji?
 
Back
Top Bottom