Mikopo kwa second round of application........!

chalema06

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
29
Reaction score
8
ndugu zangu swala la mikopo kwa watakao chaguliwa second round ni ndoto, coz hata mwaka wa jana hakuna aliye pata hata mmja, xo guyz mjipnge kwa hilo.
 
mh,,ila wizara ya elimu jana iliongezewa mkwanja..labda tungojee!!
 
Mkopo Mwaka huu unadepend na coz uliyopangiwa sio 2nd round wala 1st.
 
Kwani kujilipia ada mwaka wa kwanza alafu ukaomba mkopo kuanzia mwaka wa pili na kuendelea haiwezekani?
 
kweli ulisemalo kaka, ht mwaka jana second round hawakupata kitu, fact mimi nipo chuo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…