C chalema06 Member Joined Aug 12, 2012 Posts 29 Reaction score 8 Aug 14, 2012 #1 ndugu zangu swala la mikopo kwa watakao chaguliwa second round ni ndoto, coz hata mwaka wa jana hakuna aliye pata hata mmja, xo guyz mjipnge kwa hilo.
ndugu zangu swala la mikopo kwa watakao chaguliwa second round ni ndoto, coz hata mwaka wa jana hakuna aliye pata hata mmja, xo guyz mjipnge kwa hilo.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Aug 14, 2012 #3 mh,,ila wizara ya elimu jana iliongezewa mkwanja..labda tungojee!!
B Bro fortu New Member Joined Nov 24, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Aug 14, 2012 #4 Mkopo Mwaka huu unadepend na coz uliyopangiwa sio 2nd round wala 1st.
STALLEY JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 623 Reaction score 219 Aug 14, 2012 #5 Kwani kujilipia ada mwaka wa kwanza alafu ukaomba mkopo kuanzia mwaka wa pili na kuendelea haiwezekani?
Kwani kujilipia ada mwaka wa kwanza alafu ukaomba mkopo kuanzia mwaka wa pili na kuendelea haiwezekani?
M mwalemba New Member Joined Aug 11, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Aug 14, 2012 #6 kweli ulisemalo kaka, ht mwaka jana second round hawakupata kitu, fact mimi nipo chuo sasa