Mikopo kwa wafanyabiashara wanaotaka kuagiza magari na kulipia ushuru

Mikopo kwa wafanyabiashara wanaotaka kuagiza magari na kulipia ushuru

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
98
Reaction score
87
Habari
Katika shughuli za kuijenga nchi, sekta ya fedha imekuwa muhimu hususani katika suala la mikopo ingawa Bado kuna changamoto nyingi zinazofanya watanzania wengi wasiweze kutimiza malengo Yao sababu ya masharti magumu na taratibu zingine ambazo zinawafanya washindwe kukua kiuchumi.

Katika mada hii naenda kukuelekeza mikopo ya wafanyabiashara WANAOTAKA KUAGIZ magari na kulipia ushuru bandarini kuanzia mikopo yenyewe changamoto wanazokumbana nazo na suluhisho sahihi naloenda kutoa Kwa wale wote watakaoamua kukopa ioka kwetu

MIKOPO YA KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI

Mikopo hii hutolewa Kwa wafanyabiashara wakubwà na wadogo na hata watu binafsi, mikopo hii huanzia shilingi milioni moja hadi shilingi billion Moja, kiwango Cha mkopo huwa ni asilimia 50 ya thamani ya gari unalotaka kuagiza jambo la msingi gharama zisizidi billion Moja na riba huwa ni asilimia 3.5% Kwa mwezi. Dhamana ya mkopo huu huwa ni KADI YA GARI unalotaka kuagiza.

Mteja anaruhusiwa kuagiza gari zaidi ya Moja na jambo la msingi ni kuwa asilimia 50 va thamani ya magari yote isizidi billion Moja

MKOPO WA KULIPIA USHURU BANDARINI
Mkopo huu hupatikana Kwa wafanyabiashara na watu binafsi pia, mkopo huu utapata Kwa asilimia 80 ya kiwango cha ushuru unaodaiwa ingawa unaweza ukaomba na ukapata mkopo zaidi ya asilimia 80, jambo la msingi mkopo usizid billion Moja

# mkopo huu mdhamana wake ni KADI YA GARI uliloagiza
# Riba ni asilimia 3.5 kila mwezi
CHANGAMOTO AMBAZO WATEJA HUKUMBANA NAZO MA NAMNA AMBAVYO NITAMSAIDIA MTEJA
# changamoto ya 1
Wingi wa nyaraka za kiwasilisha ili mteja apate mkopo hususani Kwa wafanyabiashara

Hii ni changamoto ambayo imekuwa ikinifukuzia wateja wengi, Kwasababu wateja wengi wanapokuja kukopa mara nyingi huwa Wana shida ambayo inawpatatiza na unahitaji suluhisho la haraka hivyo mteja kuanzia kishughulikia nyaraka zote humpa ugumu na hivyo kuahirisha kuchukua mkopo, Kwa bahati mbaya wateja huwa hawajui kuwa sio kila nyaraka iliyoorodheshwa inamhusu nal baladhi ya nyaraka kwasasa hupatikana Kwa urahisi mtandaoni na hivyo anaweza kuzipata pasipo kwenda sehemu husika, mfano wa nyaraka hizo ni kama vile bank statement ambayo unaweza kuipata kupitia simu Yako ya mkononi Kwa kupakua app ya bank husika unayotumia, nyaraka nyingine ni TIN number, leseni ya biashara na passport size ambazo kupitia simu Yako ya mkononi unaweza kupata documents hizi Kwa urahisi na documents ambazo inapaswa kuzitafuta physically ni barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa ya mkopaji na mdhamini.

Changamoto ya pili
Mteja kuchelewa kupata mkopo
Hii ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua na kuwaliza wateja wengi kwani wateja wengi huja kuchukua mkopo sababu ya dharura walizonazo na pindi mteja anapocheleweshewa mkopo husababisha mteja kuahirisha kuchukua mkopo

Changamoto hii ni tatizo lililopo upande wa taasisi husika inayotoa mkopo na sio mteja kwani mteja anakuwa ameshakamilisha nyaraka zote

Suluhisho sahihi naloenda kutoa ni kusimamia Mimi mwenyewe mchakato mzima wa utoaji mkopo na kuhakikisha mteja anapata mkopo Kwa wakati husika

Unakaribishwa kutoa maoni na ushauri lkn pia Kwa wale wenye uhitaji wa mkopo msiache kunicheki kupitia Whatsapp number 0686153806
 
Me naomba niwe msaidizi wako utanilipa chochote ili mradi niishi
 
Riba ya 3.5% kwa mwezi sio mchezo. Sawa na 42% kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom