Wanajukwaa nimeskia kuwa kuanzia tar 15/10/2021 Nmb wataanza kutoa mikopo kwa wakulima wafugaji na wajasilia Mali
Ninachotaka kujua je kwa mfano mkulima na mfugaji ni vigezo (masharti) gani anatakiwa kutimiza ili apewe mkopo huo. Msaada jamani
Asante mkiuNenda bank ya nmb iliyokaribu nawe utapata maelezo mazur na yaliyonyooka...
PouwaNgoja waje kukupa muongozo...
Nimesoma tangazo leo mkuuMbona hiyo tarehe uliyoandika ktk uzi wako tayari imepita kitambo?