Mikopo kwa wanafunzi wa Diploma 2014|2015

King9

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
45
Reaction score
13
Ndugu hiv ukichaguliwa unatakiwa kuomba mkopo helsb? kama ndio hivyo mbona deadline 10sept2014 wkt matokeo yametoka 14sept2014?

Nisaidieni wadau.
 
Diploma wanapewa mkopo mm najua kuna baadhi tu za course wanapewa na deadline mbona ishapita ya kuomba huo mkopo. Hebu fafanuaa
 
hicho nikweli hv tungewezaje kuomba wkt kipnd tunatuma maombi hawakutuelekeza kuomba mkopo labda kwa wale waliokuwa wameomba UDOM tu lkn hwizara ilikuwa imesema ht vyuo vngne na nacte wanatoa majina tar imeishapita ya hrslb hv wanataka tufanyeje???????
 
DIPLOMA na ww mkopo wa nini jamani????? waacheni wadg zenu fom six bna......
 
DIPLOMA na ww mkopo wa nini jamani????? waacheni wadg zenu fom six bna......

kwakuwa diploma holder wote ni watoto wa Bahresa, acha hizo bwana kila mtu na bahati yake, wewe wa form six unaweza usipate akapata diploma holder, usikatishe watu tamaa
 
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu
 
Diploma wanapewa mkopo mm najua kuna baadhi tu za course wanapewa na deadline mbona ishapita ya kuomba huo mkopo. Hebu fafanuaa
jina langu limetoka udom course special ya ualimu wa masomo ya sayansi diploma na tumeambiwa tuombe mkopo lkn heslb deadline ni sept10 wkt majina yametoka sept14
 
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu

Tatizo linalojitokeza ni kwamba inaonyesha organisation kati ya mpesa na heslb ni vr poor coz nimejaribu several times kuaply naambiwa invalid transaction ID labda u2mie other alternative rather than bulshit OLAS
 
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu

umenipa moyo kidogo lkn ya naomba iwe kweli
 
ulisoma guidebook ya diploma ww?

jina langu limetoka udom course special ya ualimu wa masomo ya sayansi diploma na tumeambiwa tuombe mkopo lkn heslb deadline ni sept10 wkt majina yametoka sept14
 
kwakuwa diploma holder wote ni watoto wa Bahresa, acha hizo bwana kila mtu na bahati yake, wewe wa form six unaweza usipate akapata diploma holder, usikatishe watu tamaa
Diploma anaetaka mkopo mimi namuona kama mngese tu kwa sababu yeye ana cheti tayari ukicompare na dogo wa form six ambaye hana cheti which means katika ajira haaijiriki bado....lakin jitu zima la diploma na midevu yako unataka ugombanie boom na watoto....sio inshu aisee...jirekebisheni wenye hizo mambo.......woga huo
 
Nan alokwambia kila aliyeomba dip ya udom yuko kwenye ajira?una2kana tu wakati huna uwakika na unachokisema
dumbass!!
 
lkn huo si mkopo?. unapashwa kurudisha/kulipa ukimaliza na kupata ajira. Kwa hiyo ni haki ya kila mtanzania whether ana diploma au form six maana board ina vigezo vya nani apewe kutokana na shida zake. Kwa hiyo wote wanastahili kuomba.
 
Uyo jamaa kachanganya mafail. .kuna dip ya udom wamechaguliwa watoto wadogo i.e 4m4 walomalza 2013 pipo kama4000 hiv. .yan hao shavu maana wanakula bumu bila ata kuonja uchungu wa advance! Xo kila m2 na bahat yake. .aijawah tokea an!
 
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu

Nimetoka HESLB muda huu wamesema kuwa hakuna extension ya muda. Eti taarifa ya kuomba mafunzo hayo iliambatana na tangazo la kuomba mkopo.
 
umekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…