Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DIPLOMA na ww mkopo wa nini jamani????? waacheni wadg zenu fom six bna......
jina langu limetoka udom course special ya ualimu wa masomo ya sayansi diploma na tumeambiwa tuombe mkopo lkn heslb deadline ni sept10 wkt majina yametoka sept14Diploma wanapewa mkopo mm najua kuna baadhi tu za course wanapewa na deadline mbona ishapita ya kuomba huo mkopo. Hebu fafanuaa
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu
ulisoma guidebook ya diploma ww?
Diploma anaetaka mkopo mimi namuona kama mngese tu kwa sababu yeye ana cheti tayari ukicompare na dogo wa form six ambaye hana cheti which means katika ajira haaijiriki bado....lakin jitu zima la diploma na midevu yako unataka ugombanie boom na watoto....sio inshu aisee...jirekebisheni wenye hizo mambo.......woga huokwakuwa diploma holder wote ni watoto wa Bahresa, acha hizo bwana kila mtu na bahati yake, wewe wa form six unaweza usipate akapata diploma holder, usikatishe watu tamaa
Diploma anaetaka mkopo mimi namuona kama mngese tu kwa sababu yeye ana cheti tayari ukicompare na dogo wa form six ambaye hana cheti which means katika ajira haaijiriki bado....lakin jitu zima la diploma na midevu yako unataka ugombanie boom na watoto....sio inshu aisee...jirekebisheni wenye hizo mambo.......woga huo
Mim ni miongn mwa walioomba mkopo. .ila ni kwa diploma ya udom, kwa mlio chagulwa direct na nacte bila kuomba kwa tetex wame extend muombe kwa hz wiki mbil zlzo bki ni hayo tu
Diploma anaetaka mkopo
mimi namuona kama mngese tu kwa sababu yeye ana cheti tayari ukicompare
na dogo wa form six ambaye hana cheti which means katika ajira
haaijiriki bado....lakin jitu zima la diploma na midevu yako unataka
ugombanie boom na watoto....sio inshu aisee...jirekebisheni wenye hizo
mambo.......woga huo