Mikopo Mikopo Mikopo na Bank Akaunti (Bank Account & Financial Facilities)

Mkuu mnatoa mikopo ya leasing kununua assets ? , kama mnatoa condition ni hiyo hiyo ya kuwa na statement ya mwaka ?
 
Nimeuliza hili swali pia halijajibiwa hapo juu...

Samahani kwa kutowajibu wakuu, hapana hatutoi mkopo huo, its either OD ya mwaka mmoja na Term loan ya Miaka mitatu chief. in which OD ni working capital na Term loan can be Investment capital/Kwa ajili ya Expansion ya investment yako.
 
Mnatoa mikopo ya kilimo?? Nataka kulima eka 800 za ngano west kilimanjaro. Nahitaji mkopo kuwezesha.

Vigezo vinakuwaje?? Shamba ninalolima nimekodi, sina nyumba, nimepanga.
 
mnatoa mikopo kwa project ya ujenzi(lodge) na return yake miaka mingapi??
 
Mambo VIP mkuu mashamba VIP uko West mi nipo Marangu nataka kukod huko.Naomba ni pm mkuu asante sana bulldog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…