Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
- Thread starter
- #21
hakuna fursa ya uagent kama vile wa kutafuta wateja na kulipwa commission?
hili linaongeleka kaka...chek mi out tutajua chief..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna fursa ya uagent kama vile wa kutafuta wateja na kulipwa commission?
Mkuu mnatoa mikopo ya leasing kununua assets ? , kama mnatoa condition ni hiyo hiyo ya kuwa na statement ya mwaka ?
Nimeuliza hili swali pia halijajibiwa hapo juu...
Mnatoa mikopo ya kilimo?? Nataka kulima eka 800 za ngano west kilimanjaro. Nahitaji mkopo kuwezesha.
Vigezo vinakuwaje?? Shamba ninalolima nimekodi, sina nyumba, nimepanga.