Mikopo Mikopo

Mikopo Mikopo

kama unahitaji mikopo PM please

Nadhani ingekua busara kama ungetoa maelezo ili watu wajiridhishe kabla ya kuPM

Mfano kama wewe in registered institution/company,office zako zinapatikana wapi,vigezo vya mikopo and all that we are suppiaed to do
 
Yes mimi ni registered company ofisi zetu zipo basihaya tegeta
 
Yes mimi ni registered company ofisi zetu zipo basihaya tegeta

Asante mkuu ila weka wazi mchakatommzima wa mkopi wako kuanzia vigezo vya kupata mkopo,riba,marejesho,dhamana na kiasi cha mkopo ambacho mtu anaweza kukopa maana siky hizi watu wa namna hii ni wengi na sio wakweli ndio.maana details ni muhimu

Weka kwa faida ya wana jf not me
 
Mikopo yetu ni ya mwezi tu na lazima uwe na dhamana pia riba itategemea na unachokiweka dhamana
 
Mikopo yetu ni ya mwezi tu na lazima uwe na dhamana pia riba itategemea na unachokiweka dhamana

😳😳😳😳😳ًmwezi moja tu!!! mbona ni muda ndogo sana .,, kama unataka let it be for six mounth hivo utawasaidia waliokua na haja
 
😳😳😳😳😳ًmwezi moja tu!!! mbona ni muda ndogo sana .,, kama unataka let it be for six mounth hivo utawasaidia waliokua na haja

Itategemea na mtu anachotaka kuweka bond
 
Itategemea na mtu anachotaka kuweka bond

Mikopo ya aina hii huwa ni mibaya, maana watu huishia kupoteza vitu vyao alivyoweka bond. Mbaya zaidi wadau wake ni watu maskini.
 
Weka namba ya simu bhana, mambo ya ku-PM nini?
 
Hii ni ile mikopo ya mtaani ambayo ukikopa hata buku tano huwezi rudisha, dhamana inaenda.
Mikopo ya mapichapicha.
 
Mtoa mada hayupo wazi anatia shaka kama kwen ana registed campany, his biznez is too local and not trustfull,
 
Back
Top Bottom