MIKOPO! Mkopo! Chuo cha mipango dodoma...!

MIKOPO! Mkopo! Chuo cha mipango dodoma...!

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
khaari zenu wana jf! Mwenye ufahamu; hivi kuna uwezekano wa kupata mkopo katika chuo cha mipango dodoma kwa ngazi ya degree? Maana miye niliappy uko ingawa kwenye book guide waliandika non priority!! Kama vp nianze kujipanga. NA mwenye ufahamu anijuze kama kuna uwezo wa kupata ajira! Niliappy BA of finance and investment planning. plz mwenye lolote....!
 
non priority ndo kusema hawapewi mkopo kabisa au wataweza kupata angalau kiwango kidogo?
 
kaka kama umeomba unaweza ukapata maana wapo watu kibao wanaosomana mkopo juu...nimesoma pale diploma two years so i know every thing.....tena baadhi yao ni asilimia 100 mkopo wanapata....so worry out omba tu uapate coz mikopo sikuhiz ni majanga pia
 
Mkopo utaupata ilimradi uwe na vigezo vya bodi. Karibu mipango
 
Back
Top Bottom