Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaka huu mikopo haitachelewa kuingizwa kwenye akaunt za wanafunzi,hii ni kupunguza maandamano ya wanafnz na maandalz ya uchaguz 2015,chanzo mdau wangu loan board.
mkuu huyo ci angekwambia wanatoa tarehe ngap?makee ilo alijaanza ku2humiza li2humizalo ni hilo la lin zinatoka!