Mikopo ndani ya Ndoa

Bukayo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
2,782
Reaction score
1,641
Habarini wana JF
Kuna wakati vijana wanapoingia kwenye mausiano na hasa wote wakiwa wasomi huwa very "optimistic" sana na hudhania mambo mengi mepesi kumbe sio uhalisia
mwanaume na mwanamke wote mmeoana mna kazi ila financial responsibities ziko kwa mume na ikitokea MAMBO yamekwama mamaa akitoa pesa ndo KAKUKOPESHA huyo na utadaiwa, wakati mwingine mama akitoa pesa nyumbani ya matumizi utasikia kauli kama hizi "tumieni vizuri haya mafuta mnajua pesa navyozipata? Lakini wengi wanawake hudai Usawa sasa mbona baba kukwama kauli unatoa kama za KIMAJUNGU MAJUNGU?
Yaani hata siku moja usitegemee sana pesa ya mkeo itakutoa isipokuwa wachache sana
 
i see kuna wanawake wa hivyo

hiyo nyumba si yake na mumewe? Anamkopesha mumewe kwenye matumizi ya nyumba? Mfano anaponunua sukari, mume akirudi anamdai hela ya sukari? Kama ni hivyo huyo mwanamke hajajitambua au hajajua kama yupo kwenye ndoa.

Unless kama mume umemwambiz mkeo akukopeshe kiasi kadhaa utamrudishia, hiyo akikudai umlipe kwa kweli
 
Kaaazi kweli kweli. . .
Sasa hiyo ni ndoa au biashara?njj
 
Kaaazi kweli kweli. . .
Sasa hiyo ni ndoa au biashara?

mbona Ndoa hizi ndo nyingi? Watu wanakopeshana humo balaa...ikitokea ugomvi kidogo utasikia "kwanza nirudishie pesa yangu ya KARO.. We si ndo umenioa???
 
Kaaazi kweli kweli. . .
Sasa hiyo ni ndoa au biashara?

Kwa bahati mbaya au nzuri sijui... wakina mama wengi wako na msimamo wa namna hiyo.. kwamba wao hawahusiki na swala lolote la fedha kwenye familia... mshahara wake ni wake, mapato yake ni yake, akitumia kwenye familia lazima akudai baba. Hata kama wewe ndio ulimpa hiyo hela jana, halafu leo huna ukamwambia aitumie leo kwa matumizi ya nyumbani , atakudai..
 
Kuishi kwingi kuona mengi hili lipo sana..mtoto anamfuata mama ampe pesa ya shule anamwelekeza kwa babake (wote hapo employed) baba akisema sina pesa mama anampa na anasema utanirejeshea
 
si unajua makubaliano mengi kwenye ndoa mara chache sana yanagusa mambo ya fedha- kwahiyo baada ya muda watajipanga. Ndoa ikiwa changa kila mtu anakuja na yake alivyoona wazazi wake ama jamaa zake walivyoendesha ndoa zao. Ni jukumu lao tu kukubaliana maana mfumo wetu na tamaduni zetu baba ndio anapaswa kutoa huku mama anajazia
 
Hivi ukimkopesha mumu/mke hela inaruhusiwa riba asilimia ngapi ili isiitwe ufisadi?(Nawaza kamisheni ya rada style)
 
Hivi ukimkopesha mumu/mke hela inaruhusiwa riba asilimia ngapi ili isiitwe ufisadi?(Nawaza kamisheni ya rada style)

interest free..ila mara nyingi huwa hawalipani on time deni linalimbikizwa hata 10 yearz no compound interest added
 
Kaaazi kweli kweli!!
Poleni wakina baba!!
 
Kwani ni lazima kuoa/ kuolewa!!?? kwa nini mjiingize kwenye commitment za kijinga kama unaona ur partner hamuwezi kuwa perfect couple?
 
Kwani ni lazima kuoa/ kuolewa!!?? kwa nini mjiingize kwenye commitment za kijinga kama unaona ur partner hamuwezi kuwa perfect couple?

Dada hizi ni changamoto tu..haimaanishi ndo tusioe we ukuioa kuna "utulivu" wa nafsi ati we unataka tuwe viruka njia? Na hapo kuna kale ka ugonjwa Ketu
 
Dada hizi ni changamoto tu..haimaanishi ndo tusioe we ukuioa kuna "utulivu" wa nafsi ati we unataka tuwe viruka njia? Na hapo kuna kale ka ugonjwa Ketu
Kale kaugonjwa kanawamaliza zaidi wanandowa kuliko tabaka lingine lolote mkuu open ur eyes!!
 
Kale kaugonjwa kanawamaliza zaidi wanandowa kuliko tabaka lingine lolote mkuu open ur eyes!!

Ni kweli lakini wote wamekufa? Au wanandoa wote wameambukizwa? Its too general unachosema...wewe wataka tuwe vicheche na manung'ayembe? Baki mwenyewe Uko hupati mtu hapa Lol
 
Kwani ni lazima kuoa/ kuolewa!!?? kwa nini mjiingize kwenye commitment za kijinga kama unaona ur partner hamuwezi kuwa perfect couple?
Matola humtaki tena yule 'mwanamke kamili'??!
 
Ni kweli lakini wote wamekufa? Au wanandoa wote wameambukizwa? Its too general unachosema...wewe wataka tuwe vicheche na manung'ayembe? Baki mwenyewe Uko hupati mtu hapa Lol
Ni wapi mimi nilipokwambia nahitaji vicheche au ni wapi nimekwambia mimi sijaoa! Think Big.
 
Ni wapi mimi nilipokwambia nahitaji vicheche au ni wapi nimekwambia mimi sijaoa! Think Big.

Basi bwana matola yaishe mkuu...ila kuoa lazima bhana we wataka uoe peke yako? Bengine bakae thingo? Dunia aijaze nani?
 
Matola humtaki tena yule 'mwanamke kamili'??!
Mwanamke kamili hawezi kuwa na dosari hizo, go on Our contract still exists na ni matumaini yangu Tutakapokuwa wote Valentines day utanipa feedback ya ukweli.
 
interest free..ila mara nyingi huwa hawalipani on time deni linalimbikizwa hata 10 yearz no compound interest added

No.kuna riba..huwa inalipwa kwa makato madogomadogo kutoka kwenye kodi ya meza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…